Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakikagua jengo la Halmashauri ya wilaya ya Chato baada ya kulifungua wakiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera leo. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mohamed Babu.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Pinda naye amepiga magwanda ya CHADEMA..LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...