Mfuko wa pensheni wa PPF kwa kutambua umuhimu na mchango wa wanawake katika jamii umekabidhi msaada wa computer na printer kwa wakinamama wajasiliamali wa mkoa wa Kagera, akipokea msaada huo kwa niaba ya kina mama hao mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Kagera, Mh.Bernadeta K. Mushashu ameushukuru sana Mfuko wa PPF na amesema msaada huu umekuja mda mwafaka kwani utawawezesha kina mama wa Saccoss za Kagera kuweka kumbukumbu za biashara zao kwa usahihi na kuzipata kwa urahisi pale zinapohitajika, wakikabidhi msaada huo Kulia ni Meneja Mahusiano wa PPF Sara Msika sambamba na Afisa Mahusiano Bi. Mary Msoffe .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...