Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya (wa pili kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa mwakilishi wa kampuni ya STÜWA inayotengeneza vifaa na pampu za visima; Peter Kazaura (kushoto), huku Balozi mdogo wa Ujerumani, Hans Koeppel (katikati), akisikiliza maelezo ya namna teknolojia ya uzalishaji wa vifaa vya visima, wakati wa uzinduzi wa wiki ya maji Kitaifa uliofanyika Jijini Mwanza. Kifaa anachooneshwa Waziri Mwandosya ni pampu inayochuja maji kwenye kisima. Picha na mdau Sitta Tumma.
Home
Unlabelled
profesa mwandosya katika banda la STUWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duh! nilivyoangalia fasta nilidhani anapata kikombe cha babu!
ReplyDelete