Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk Ali Mohamed Shein,akivalishwa joho ,kuwa MKuu wa Chuo na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, SUZA,Dk Abdullwa Ismail Kandoro,wakati wa sherehe maalum iliyofanyika leo katika viwanja wa Chuo hicho ,Majestik Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na Mkuu wa Chuo Kikuu cha SUZA akipokea nondozzzzz za kumuwezesha kisheria kuwa Mkuu wa chuo kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Zanzibar,SUZA Mzee Hassan Nasoro Moyo jana,baada ya kutawazwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar,(SUZA)
Baadhi ya Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA ,wakiwa katika maandamano wakati wa Sherehe za Kutawazwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,kuwa Mkuu wa Chuo Hicho zilizofanyika leo katika viwanja vya chuo hicho Majestik Mjini Unguja.PIcha na Ramadhan Othman, Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tukisema ukweli huweki post zetu...Weeee MIchuzi Muogope Mungu....Ndio maana nchi za uarabuni zimeona hakuna freedom ya kuelezza jambo unaloona ni kweli na linakosoa jamii nevertheless viongozi....Haya bwana unenepe sanaaaa tu lakini one day utajibu maswali mengi tu....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...