Can you gimme like 15 cups for my lads, sir?


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hahahahahaha mnatuchokoza wapenzi wa Arsenal. Fergie ndo huwa anaomba dk za nyongeza juu ya nyongeza.Hata hivyo nimeipenda hii.

    ReplyDelete
  2. we mzee WENGA babu wa loliondo anatibu magonjwa sugu tu,hausiani na kamati ya ufundi incase you didn't know LOL

    ReplyDelete
  3. very stupid joke! people are talking serious here!

    ReplyDelete
  4. Kweli maanake Arsenal akzi yao kukosa vikombe vya mashindano ya mpira huku wakitandaza kandanda safi, labda kikombe toka kwa Babu Loliondo kitafanya angalau wabebe Carling Cup ya Premier League England.

    Pia Liverpool wanatakiwa katika foleni ya kwa babu Loliondo.

    ReplyDelete
  5. hiiiii jamani mambo mengine ayataki kikombe cha babu yanataka ujunzi tu uwoni man u. hata mnzee mnzima ayupo bach na kushindakashinda

    ReplyDelete
  6. KWANINI VIJANA TANZANIA WANAPOTEZA MUDA KUANGALIA MECHI ZA ULAYA KWENYE TV SIKU HIZI??

    Wabongo kwa mpira wa ulaya! (wanajigongagonga) kumbuka miaka iliyopita hamna mtanzania aliyejua Arsenal or Manchester. Sasa yaani hata walala hoi wanajua orodha ya arnesal na timu nyingi ulaya.
    Kumbuka huu ni uchafu mtupu. Soma vitabu, focus na mambo ambayo yatakuletea maendeleo. Wewe umekaa kwenye chumba cha kupanga ilala au iringa unazungumizia Manchster or Arsenal..Liverpool.
    KWANZA ELEWA, HIZO TIMU, WACHEZAJI NA WASHABIKI WA ULAYA HAWATAKI KABISA KUWA NA NIGGERS, WATU WEUSI (WAAFRICA) KUSHABIBIKIA TIMU ZAO.

    Michuzi najua hutaweka hii comment lakini naomba uweke kama Comment na vilevile kama Blogu Posti.(Freedom of press)

    Yaaani, inasikitisha vijana wa TANZANIA wanapoteza muda wao mwingi sana kwenye mambo ya mipira ya ulaya.
    Nchi yetu masikini na familia zako ziko kwenye hali duni.
    Leo unakaa bar au chini ya mti masaa 6 au 7 eti unangalia Liverpool..
    Akili zako ziko wapi? Umelogwa nini?
    Vijana wengi wekua wapumbafu sana , yaani total salvage.. Dead man walking. Sorry Kimarekani kimejitokeza.
    Sisi wabeba maboksi wa Marekani tunasikitishwa sana na hii tabia. Kila tukija vacation Bongo , basi kila mtu na jersey ya mpira. Eti yeye ni mshabiki.
    Kijana anauza chips kwenye kibanda anashangilia sana.. Tumeshinda Tumeshinda.. ehe.. Wameshinda wao sio wewe.
    Jamani waelimishe hawa vijana waache uvivu na wapate kazi tatu sio moja.
    Uza chips, Kata nywele,fanya ulinzi, sio kuangalia TV.
    Watanzania wengi bado washamba wa TV.
    Barua kutoka kwa wabeba Maboksi Marekani.
    Wadau please Comment

    MKURUGENZI WA WABEBA MABOKSI
    CALIFORNIA MAREKANI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...