
Bila shaka mwanao anakipaji, muuonyeshe kwamba unatambua alichofanya kwa kututumia sisi nasi tutaiweka ikae milele kwetu, itatsomwa kokote duniani.
Jina lake, umri wake, namba yako ya simu, email yako na ikiwezekana picha yake.
Katuni au picha aliyochora iambataishwe na maelezo kidogo.
katuni@galacha.com
www.galachakatuni.com
Wazo zuri lakini hujaelezea all the fine details..Umri wa kushiriki ni gani? Kuna wengine still kids at heart je nao wataruhusiwa kutuma? ....Je kuna kulipwa au tunatuma tu bure? Nani atakua na final copyright ya picha nitakayoituma? Manake leo natuma kesho twaiona inaadvertise tangazo fulani je nitalipwa mimi au la?
ReplyDeleteNahitaji kujua,, watoto hao ambao ni wachoraji watafaidika na nini?
ReplyDeleteNa hiyo galacha ni nini exactly?
Mtoa maoni wa kwanza,
ReplyDeleteUmri wa kushiriki ni mwanao miaka 10 au chini ya miaka 10.
Mtoto yeyote ataruhusiwa kutuma. lengo ni kuwawekea kumbukumbu ya michoro yao waliyofanya wakiwa wadogo.
Kutuma ni bure hakuna malipo
Copyright yote ni ya mchoraji, katuni zote zilizomo katika GALACHA Katuni zina haki miliki ya mchoraji husika.
Hairuhusiwi mtu yeyote kuzitumia mpaka kuwasiliana nasi..na sisi tunawasiliana na mchoraji husika.
Tunashukuru kwa pongezi zako.
GALACHA Katuni
soma cheka tafakari
www.galachakatuni.com
www.galacha.com
Lengo lilikuwa kukusanya katuni zao, tutaangalia katuni ipi ina points nyingi na comments. Halafu tutamzawadia mtoto huyo.
ReplyDeleteNadhani hili litasaidia kumpa motisha zaidi, zaidi ya kuziweka katika tovuti ya katuni tu.
Thanks lakini mbona naona watu wakubwa tu huko? Picha zao zinaonyesha ni wakubwa zaidi ya miaka 10 achilia mbali catoons zao ni very matured...I 100 % sure mtto wa miaka 10 or below hawezi kuchora hiyo catoon...\
ReplyDeletehttp://galachakatuni.com/index1.php?id=14&&front=maskanimchoraji&&Result_Set=3
ReplyDelete