Mbunge wa Jimbo la Nachingwea mkoani Lindi Mhe.Mathias Chikawe (wa pili kushoto) ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -Utawala bora akipokea msaada wa baiskeli ya walemavu kutoka kwa MKurugenzi mkuu wa kampuni ya UNDI Bw.Philip Makota (wa kwanza kulia) ikiwa ni sehemu ya vifaa vya hospitalini vyenye thamani ya shilingi milioni 13 kwa ajili ya hospitali ya Wilaya ya Nachingwea,Wengine pichani wakurugenzi wengine wa UNDI Dr.Saanane Bonaventure katikati na Bakari Shekimweri wa kwanza kushoto.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hongera kaka philip kwa jitihada yako na moyo wa kusaidia nyumbani nachingwea mungu akuzidishie mengi zaidi, nani mfano mzuri wa kuigwa na wengi. binti wa ng'ittu uk

    ReplyDelete
  2. sijui kwa nini nashindwa kuamini ufadhili wa Kitanzania, yaani ule msemo wa Mheshimiwa Rais JK "Ukila na wewe shurti Uliwe"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...