Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano la Tanzania Mh. Job Ndugai, akifunga semina ya waandishi habari sasa hivi katika hoteli ya Millenium mjini Bagamoyo. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. homas Kashilila, shoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi Dkt Harrison Mwakyembe ambaye ni mmoja wa watoa mada, akifuatiwa na Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa kimataifa wa Bunge Bw. Jossey Mwakasyuka
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa kimataifa wa Bunge Bw. Jossey Mwakasyuka akiongea kushukuru washiriki na watoa mada.Naibu Waziri wa Ujenzi Dk Harrison Mwakyembe akitoa mada juu ya uhuru wa vyombo vya habari na mipaka yake wakati wa semina ya bunge kwa waandishi wa habari mjini Bagamoyo leo
Mh. Oscar Mtenda, Mshauri Mkuu wa Mambo ya Sheria Bunge,
akitoa mada yake juu ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge.
Picha zaidi BOFYA HAPA
Picha zaidi BOFYA HAPA



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...