Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Zamzam kwenye Manispaa ya Bukoba akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera leo. Kulia ni mkewe Tunu na kulia kwake ni Mkuu wa mkoa huo, Muhamed Babu.
Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akiwa amevaa kofia aliyozawadiwa na wananchi wa Manispaa ya Bukoba baada ya kufungua jengo la utawala la shule ya sekondari ya Buhembe leo.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipokea zawadi ya mkeka aliyozawadiwa na wananchi wa Manispaa ya Bukoba wakati Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda (kushoto) alipofungua jengo la Utawala la shule ya Sekondari ya Buhembe akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera leo.
Mke w a Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwasalimia wananchi wakati Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda alipofungua Jengo la Utawala la Shule ya Sekondari ya Buhembe katika Manispaa ya Bukoba akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mimi namkubali sana Kamanda Pinda mtu hapendi makuu kabisa na mtu wa watu mungu akutangulie baba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...