Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Private ward katika hospitali teule ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera akiwa katika ziara ya mkoa huo Machi 7, 2011. Kushoto ni Askofu wa Jimbo la Rulenge, Severene Niwemugizi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Masista baada ya kuwasili kwenye hospitali teule ya wilaya ya Bihaharamulo kuzindua Private ward akiwa katika ziara ya mkoa huo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika Picha ya Pamoja na Askofu Severene Niwemugizi wa jimbo la Rulenge (kushoto) na watawa wa jimbo hilo baada ya kufungua Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Clara iliyopo eneo la Rukaragata , Biharamulo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera.
Baadhi ya wananchi wa Biharamulo wakiwa wamejipanga kumuuliza maswali Waziri Mkuu,Mizengo Pinda wakati alipohutubia Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Michezo wa Biharamlo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...