Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akislaimiana na Askofu Methodius Kilaini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba kwa ziara ya siku nane mkoani Kagera, leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akislaimiana na Askofu Methodius Kilaini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba kwa ziara ya siku nane mkoani Kagera, leo.

mdau hapa sina la kuchangia ila naomba huyu alieandika hii heading angalie vizuri si AWASIRI ni AWASILI sjui kama ndio typing error au mother tongue kidogo imeingia hapa. kazi kwako mdau
ReplyDeleteMmh uyo ni mwenye baraghashia ni askofu?
ReplyDelete