Ankali naitwa PRISCILA PACKISHALD BUDOTELA,napenda kuwajulisha wadau wa blog ya jamii
Leo tarehe 4/4/2011,nimefikisha miaka minne(4).Tangu kuzaliwa kwangu.
Kwanza namshukuru MUNGU,pili wazazi wangu MR & MRS PACKISHALD P. BUDOTELA.
Nakutakia upiganaji mwema katika kulielimisha Taifa.

Ankal,
Ningependa kumtakia Kheri ya Kuzaliwa mwanangu mpendwa Godwin Jnr Semunyu leo 4th April 2011 akitimiza umri wa miaka mitatu, Mimi na baba yake pamoja na familia yake yote tunampenda saaaaana, na tunamuombea Mungu amja alie maisha marefu na yenye mafanikia. Amina.
Anna Mwakatundu.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...