Mchungaji wa Kanisa la Mtakatifu Johnson la Mwananyamala jijini Dar es Salaam,Elias Maguu akimpa sakaramenti ya Kimaimala kwa kumuwekea mkono kichwani Timoth Albert wakati wa ibada ya Kipaimala iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Baba mzazi wa Timoth Albert ,Albert Mkomba akimvisha taji la mwanae baada ya kupata sakaramenti ya Kipaimala katika Kanisa la Mtakatifu Johnson Mwananyamala jijini Dar es Salaam,(kushoto) mama yake Elice Mkomba.tafrija ilifanyika katika ukumbi wa Gadern Mwananyamala.
Timoth Albert akinyweshwa Shampeni na mpambe wake Charles Kamaleki wakati wa sherehe ya Kipaimala iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Johnson jijini Dar es Salaam.
3 pieces suit, na joto lote hili la bongo! Wadanganyika mpaka tuje kujielewa shughuli ipo.
ReplyDeleteBaba huyo alizaa huyo mtoto akiwa na miaka mitano ama...Mbona baba kaonekana mdogo hivyo au ni macho yangu? By the way that is a compliment he looks so young to have such a big kid
ReplyDeleteWe anony wa 4.49am,huyo baba hana udogo wowote, macho yako naona yanahitaji msaada wa haraka. nways,Hongera Timothy kwa kupata kipaimara.
ReplyDeleteJamani ni Kipaimara na sio kipaimala
ReplyDelete