Mbunge wa Musoma Vijijini na mwanasheria nguli Mh. Nimrod Mkono na mai waifu wake wakishirikiana na mkwewe na binti zao Dr Neema Mkono na Lea Mkono kukata keki ya katika mnuso wa nguvu aliouandaa kusherehekea ujio wa bintiye na mai hazbendi wake toka Haiti katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es salaam.
Kwa picha kibao za tukio hili
BOFYA HAPA
Kwa picha kibao za tukio hili
BOFYA HAPA
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteTunasubiri tuu HArusi ya Dick Chain
ReplyDeletejamani ni lazima tujue kwamba hapa duniani kuna watu mungu amewapa utajiri na wengine hakuwapa. wewe unayesema pesa za dhulma angalia mwenyezi mungu asije akaku adhibu kwa wivu wako ukaishia pabaya.
ReplyDeleteAnon wa tatu hapo juu, sio Mungu kuwapa utajiri bali ni kwamba wanajituma, na wanatumia akili zao vizuri. Nyie wa kusubiri Mungu awape endeleeni kusubiri ... ni wale wanaohangaisha vichwa vyao na kujifunza kutokana na makoso wanaosonga mbele.
ReplyDelete