
Ankal ameiambia Globu ya Jamii usiku huu kwamba wadau wake wala wasiwe na hofu kwani libeneke litaendelea kama kawa kwani kaacha timu kubwa ya kuendeleza libeneke na wakati huo huo atakuwa akileta mambo moja kwa moja toka sebuleni kwa Obama. VOA wamekuwa wakimzengea sana Ankal ili akafanye kazi kwenye idhaa hiyo ya Kiswahili upande wa habari za mtandaoni.


jijini Washington DC baada ya kutoa mada ya vikombe

hangera kaka michuzi zikuzote mtu ukifanya kazi kwa uangalifu na umakini uwaminifu matunda yake utaiyona.Congratulation brother michuzi keep it up tuwakilishe vizuri tunakuaminia waaeleze hao wazungu kwamba hata sisi tunaweza waambiee tumegundua dawa ya magonjwa sugu kama vipi nao waende tz kwa babu ambi wapate kikombe waachekujifanya wao wanajua kila kitu
ReplyDeleteCongratulations Mr.Soups.We are glad to have you close, but we will miss Bongo event's. Mark this event in your calender for Michuzi's promotion. He is trying to pull our legs! I don't wonna spoil the events keep rolling!!
ReplyDeleteSikukuu ya Wajinga...April fools
ReplyDeleteHaya sasa....mapemaaaa.... a prank for April fools day!Ankal sijakupa bado pongezi zangu,teh!teh!Nitafanya hivyo ikitokea umetujuza siku tofauti na hii!
ReplyDeletehappy foolish day
ReplyDeletehongera ankal ingawa duh hii aprili mosi inakua na balaa kweli unaweza ukapongeza ujinga kwakweli otherwise siku hii imepoteza mwelekeo kabisa
ReplyDeleteHAPPY FOOLS DAYS! NICE ONE ANKAL!
ReplyDeletePhatlorenzo-MN
Fools Day
ReplyDeleteHongera sana ankal, na karibu sana Ughaibuni
ReplyDeleteMdau.
congratulation on your knew career. God bless u
ReplyDeletehahaha ankal nimefurahin sana kuwa umepata chance hiyo yaani ni great news kwa sisi wadau wa libeneke. sasa ankal nakushauri japo siku moja hebu pata nafasi ukabebe box ulione tamu yake maana unalisanifu sana box letu.
ReplyDeletemadau maisha utani
sikukuu ya wajinga, mimi hujanipata ankal
ReplyDeleteHongera Ankali na mungu akuzidishie
ReplyDeleteMdau Iceland
APRIL 01, FOOOOOOOOLS DAY
ReplyDeleteIs this an April fool joke or the real thing? utakua a photograph reporter au mwaandishi wa kalamu...If it not an april fool welcome to the USA the land of freedom of speech natumaini utakua muwazi sasa tukishakupiga kikombe cha freedom...
ReplyDeleteNyie hamumjui Ankali, Mwaka jana alikuwa mbunge wa kata mpya...hii ni April 1
ReplyDeleteHAHAHAHA APRIL FOOLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL
ReplyDeleteunam-fool nani sasa? au kabisa una m-fuuuuuuuul nani Ankal?
ReplyDeleteApril fools
ReplyDeleteHappy April Fools Day!!!
ReplyDeleteHappy April Fools Day!!!
ReplyDeleteAnkal kuna tetesi huku mitaani kuwa ulipata kikombe cha babu wa Loliondo ambacho kimekupa dhali la kukwea pipa na kuelekea kwa mzee Obama..Powa mkuu..muombe Mzee Obama aje atutembelee kama vile Mzee kichaka (Bush)..
ReplyDeleteAnka umejuwa kuwadanga miaka YOTE UMETENGENEZA HII PHOTOSHOP TEHTEH SAFI SANA UMEWAPATIA KWELI LOL TEHTEH PAZI. APRIL FOOL.
ReplyDeleteHappy April 1 Fools day everybody!!!!!
ReplyDeleteAPRIL 1 BADO NI SIKU KUU YA WAJINGA ?
ReplyDeleteMichuzi u dont fool me,i m far away smart.LEO NI SIKU YA WAJINGA!!!!!!
ReplyDeleteApril fools day !! haha!
ReplyDeleteHii ni Friday,April 1.= Fools day
ReplyDeleteMdau
Boston
Uncle leo ni April 1...na unajua habari za siku kama ya leo inabidi kuziangalia kwa umakini kidogo. Je, kuna uhusiano wowote kati ya hii post yako na siku ya leo au hakuna? Kama hakuna basi mimi nakutakia kila la kheri katika kitengo chako kipya.
ReplyDeleteMichuzi comment yangu itabidii tu uipublish siku ikiisha lol!!! Mwanzo I almost believed then nikakumbuka ya mwaka jana kuhusu zefulanazzzzzz yaani nimecheka sana. Ur good at this! Well done
ReplyDeleteKaka,ni April 1st-fools day!Hope hutanii!Kila la Heri kaka.
ReplyDelete"FOOLS DAY NI TAREHE NGAPI" / SIKU YA WAJINGA NI TAREHE NGAPI "NAOMBA KUELIMWISHWA"
ReplyDeleteALIYETENGENEZA PICHA AMEJITAHIDI KIDOGO NAKUPA MARKS 51%
APRIL FOOLS DAY SIO?????
ReplyDeleteAcha wee Ankal, leo ni April fool!!!
ReplyDeletemdau singapore.
Mmmmh..Leo siyo sikukuu ya Wajinga kweli!!!
ReplyDeleteAnyway HONGERA SANA KAKA MISUPU
Michu
ReplyDeleteKaribu sana ndugu yangu. Mie mdau wa tokea enzi hizo. Ninataka kukukaribisha rasmi nyumbani
Ankal hongera sana kwa kupata chaka la nguvu, nina matumaini kuwa sasa blogu yako itatoa habari zaidi katika wigo mpana sana kwa sababu umehamia sehemu itayokufanya uweze kupata habari za kuelimisha na kusisimua zaidi kwa wadau wako.
ReplyDeleteKila la kheri Ankal, tupo nawe kukuombea kwa Rabana akuzidishie kheri..
Siku ya wajinga imeanza before 12midnight hapa washington d.c
ReplyDeletewajinga ndo waliwaoooo, ule mwaka mwingine uliwakamata wajinga na ile stori ya kuwa jk kakuteua ukuu wa wilaya ya tegeta.
Michu!!!
ReplyDeletehongera sana jamani...
Duh,naona umetupata kweli kweli. Nilisahau TZ tayari April 1st !!!!! . Haya ngoja tuone maajuza tuko wangaapi LOL
ReplyDeleteSiku kama hii mwaka fulani ankal alichaguliwa na JK kuwa mkuu wa wilaya ya Tegeta... hii siku ina bahati sana kwa ankal lol...
ReplyDeleteAnkal nina wasiwasi hii ni april fool, hizi picha umezitunza kwa muda mrefu zaidi ya mwaka mmoja sasa! Najua unatuzuga tu ni yale yale ya mkuu wa wilaya ya nanihii! hahahaaaaa! hizi picha ulipiga wakati zile ulipoenda CA silicon valley mkapitia ikulu kwa Obama! acha kutuzuga ankal.
ReplyDeleteNi mimi mdau wa damu USA.
hongera kaka michuzi.lakini hii haendani na april fool ili kuturusha roho ya kukosa habari! haya hongera sana.
ReplyDeleteAnkal ni mimi mdau wa damu USA usijejisahau ukapost ile message niliyokutumia kwani watu wanachechetuka wamesahau kwamba ni april fool jichukulie umaarufu kwanza mpaka baadae au kesho ndo ulipue bomu hapa umewapata wengi na kila mtu atakuamini.
ReplyDeletemmh sio April fool hii kweli?
ReplyDeleteMISUPU ONCE AGAIN ITS ME,i m far a way smart u cant fool me,LEO NI SIKU YA WAJINGA!!!!!!
ReplyDeleteKama ni hivyo na mimi nina daraja la kuvuka kigamboni naliuza.
ReplyDeleteMtani Muhidi,
ReplyDeleteSijui umekunywa kikombe kipi Loliondo TBR au Mbeya ? ila nakupa heko kwa kupenya hadi nyumba nyeupe. Tuwasiliane nikutupie ngalau viatu vya baridi maana ndio unaanza kibarua. Mtani Ottawa, Canada.
Hongera sana Kaka Michuzi, Mungu akupe nguvu ya kufanya kazi vyema, kila la kheri. Inshallah. Razia
ReplyDeletejamani ni april full mweeee..........ankal bwana
ReplyDeleteApril Fools na wajinga ndio waliwao!! hamuoni hata tarehe!! !lol!!
ReplyDeleteNaona umewapata wajinga. Keep it up leo ni Fools' day
ReplyDeleteHONGERA Michuzi kwa kuwapata wadau karibia sita hapo juu. Jamani Leo ni SIKU YA WAJINGA.
ReplyDeleteMichuzi kawapata watu kibao nafikiri hii inaipiku ile kwenye gazeti miaka ya nyuma kuwa kuna Kampuni inatoa kazi hakuna cheti, uzoefu na hata kama wewe mwizi njoo tu.
Kufikia saa tano watu kibao walijipanga kidongo chekundu
Mimi simo
Observer
he he he! Hii sio sikukuu ya wajinga kweli? manake dah! Wajanja hatuamini kirahisi
ReplyDeleteAnkal amesogezwa jikoni. Alipoulizwa kutoa ufafanuzi zaidi Ankal alisema "wajinga ndio waliowao" 4/1
ReplyDeletehappy April fools to you too.
ReplyDeleteapril hiyo anachengua huyu ni sikukuu ya wajinga.umewapata wengi misupu
ReplyDeletekumbe hata wa majuu hawajui siku ya wajinga....kweli box ni noma, linaweza kukukatia mawasiliano na dunia hata kama upo duniani.
ReplyDeleteApril Fools.
ReplyDeleteu tried.
ankaaal!ankaaaal!ucje ukawa uatutenda na april fools!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteUncle
ReplyDeletei think its APRIL'S FOOLS DAY
Ankal in your dreams!!!!!!!!!!!!Utawapata wajinga tuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!hilo ni chaka bovu......utambeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!Unafiri voice of america mchezo!!!!!!!!!eti white house!!!!!!!!!!utakaa sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!labda ukanywe vikombe vya morogoro na sio Loliondo!
ReplyDeleteMdau...........
Mie nina wasiwasi na ankal, leo si ni tarehe 1 April siku ya wajinga!!!, ankal isije ikawa unataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia. hiyo nafasi ilitangazwa lini jamani???
ReplyDeletefools day.....
ReplyDeleteHakuna lolote, siku ya wajinga leo. Mtoa habari umejitahidi kurubuni watu na pia habari yako imeukaribia uhalisia wa jambo. Hongera sana mwandishi.
ReplyDeleteKikongoti
isije ikawa april fool!
ReplyDeletefoolish day Ankal....try next time!!!!!!!!!!Keep dreaming men!one day yes!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMdau.
April Foolzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!
ReplyDeleteLeo umechakachua vizuri picha hizo na umewaweza wabeba box kweli kumbe wajinga bado wako wengi tena ughaibuni wanaokotwa kirahisi, safi sana ankal
ReplyDeleteAs I always say. Preparation meeting an opportunity. Nimefurahi sana na ninakupongeza, sikujui lakini nashukuru kuwa unawaonyesha vijana kuwa kazi ngumu hulipa. Karibu Marekani.
ReplyDeleteits 01/04 pipo wake up!!! inadhihirisha ni jinsi gani wa TZ siyo wachunguzi wa mambo na ni wa2 wa kukurupuka tu, no wonder babu anakula vinchwa vya haja tu huko Loliondo
ReplyDeleteAnkal, hapo utawapata wengi wenye sikukuu yao, mimi hunipati ng'o.
ReplyDeleteAbiola Jr, New Albany- Ohio
Mmmmmm! Leo siku ya wajinga!!!!
ReplyDeleteHongera ankal kumbukeni leo ni siku ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ya wa.......nga
ReplyDeleteHamna lolote...
ReplyDeletehumpati mtu..
Sikukuu ya Wajinga hii
Ankal Jana tu nimekuona Bongo acha utani hatudanganyiki wewe upo na sisi hapa hapa Bongo maana wewe ni Mkuu wa Wilaya fulani JK alikuteua hahahahahahahahahaha wadau mpo?????? Karibu tupate kikombe cha Babu na cha dada........................TZ oyeeeeeeeeeeeeeeeeee.
ReplyDeleteAnkal, hongera kwa kulamba vichwa kisawasawa.
ReplyDeleteNimewakuta jamaa hapa Columbu, Ohio wanabishana sana juu ya ulaji uliupata.
Sikutaka kukuharibia deal yako ya sikukuu, nikaondoka kimya kimya.
Teh Teh Teh!!!!!!!!!!!!
Kipara Siugonjwa, safarini Mikanjuni TA
Heri ya siku ya wajinga..........lol!
ReplyDeleteTehe tehe tehe tehe tehe! Fools day leo umpati mtu Kaka! Wakati tulikuwa wote kwenye foleni za magari leo.
ReplyDeleteYou reap what you sow! Juhudi zako hatimaye zimeonekana.
ReplyDeleteHongera sana Ankal.
Mdau wa Mwenge
Jamani leo sikukuu ya wajinga, chunguza kwanza taarifa unayopata.
ReplyDeleteUmewakamata wengi! APRIL FOOLS!
ReplyDeleteLakini leo ni siku ya WAJINGA
ReplyDeleteUncle Michuzi, hii habari ni ya kweli au ni janja ya kuwapata wajinga leo?
ReplyDeleteHongera saaaaaaaana Ankal Mithupu, tunakutakia kila la kheri katika kazi zako na maisha yako huko kwa Ankal Obama. Naomba ile ze fulanaz usiiweke pembeni kwani huenda ilichangia katika uteuzi huo.
ReplyDeleteAll the best brother!
Duh...Ankali kweli wewe kiboko, wakati nimeona habari hii na kuona tarehe yake nimekukubali kwa kuweza kuwapata wajinga wengi namna hii...na hii inaonyesha ni jinsi gani wabeba mabox wenzentu walivyo na IQ ndogo na no wonder tunabeba box wakati tunaweza rudi home na kufanya mambo makubwa zaidi...poleni mliopatikana na dhahama hii ya ankali kwenye siku ya wajinga..lakini ankali dini yako si hairuhusu huu upuuzi? that means umetenda dhambi ya kusema uongo...haaaa,kweli pepo kazi!
ReplyDeletethanks Uncle Michu kwa kutufurahisha, lakini watu wakumbuke leo ni FOOOOOOOOOOOOOOOOOL's DAY (kwa kimatumbi - Siku ya WAJINGA)!!
ReplyDeleteSASA ANKAL.. NAONA ILE TOPIC YA WABEBA BOKSI IMENIFANYA MIMI NICHEKE SANA.. Nakutakia kila la heri huko. Duh sasa tutakumiss sana hapa bongo maanake.. duh.
ReplyDeleteSasa wewe ni mkurugezi wa wabeba maboksi washington..
Jamani usitusahau. Mungu akubariki
happy april fools day to you all
ReplyDeleteHivi leo ndio Aprili mosi, siku ya wajinga??
ReplyDeleteNo big News ankal. Mi nilijua,BREAKING NEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEWS ankal naye Aoteshwa, aanza kugawa kikombe Nyumbani Lounge. Yaani sikukuu ya wajinga, umewapata wengi. Ni april mosi.
ReplyDeleteLeo ni April fools day
ReplyDeletekaka michu leo ni siku ya wajinga mweh
ReplyDeletesikukuu ya wajinga (fools day)??
ReplyDeleteYaani wote mmeingizwa mkenge na ankal Happy Fools Day , ankal tupo naye hapa samora tunakula bata.
ReplyDeleteLEO NI SIKU YA WAJINGA ACHA POROJO ZAKO.HA HA HAH!
ReplyDeleteApril fool
ReplyDeleteWell come to the World. New career and life. Well come. No job no money.
ReplyDeleteMdau Duke University- Durham ,North Carolina
Wajinga ndo wali wao...Happy april fools day ankal........kwikwikwi
ReplyDeleteAucle,hongera...ila yantia shaka kama sio kwamba umetukamata masikio kwani leo ni fool's day!
ReplyDeleteJamani hii sio april fool?
ReplyDeletehahahaha hongera and happy fools day ankal
ReplyDeleteUtakuwa umewapata wengi!! Fools day!!!!!!!!!!!
ReplyDelete01/04/2011 uncleeeeeee!!!!
ReplyDeleteHii ni tarehe 1 April, Au...?
ReplyDeleteApril Fools Day.
ReplyDeleteHONGERA SANA BRO MICHUZI AS LONG AS HAIHUSIANI NA SIKU YA LEO. KILA LA KHERI!
ReplyDeleteEhhh nyie wa juu wote leo ni tarehe ngapi vileeee..........!!!!!!
ReplyDeleteSiamini nadhani kama siku ya wajinga vile!!!! Mmmmh!
ReplyDeleteMMMh nawasiwasi na Misupu!! Leo ni siku ya wajinga isije ikawa unatuingiza town.
ReplyDeleteMichuzi siyo mambo ya fools day hayo???
ReplyDeleteMi sikubali leo tarehe 1 April. te te teheeeee......
Nahisi kama sikukuu ya wajinga hivi
ReplyDeleteHappy Fools day Ankal!
ReplyDeletehahah sikukuu ya wajinga...umewapata wengi sana
ReplyDeletefools day leo
ReplyDeleteApril 1 sikukuu ya Wajinga. haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteMuongo tu huyu jamani. Leo ni siku ya FOOL DAY shauri yenu!
ReplyDeleteAnkal hapo c kama unatuingiza mjini kweli hapo kwenye fools day . Jana tu nimekuona pale mzalendo aloo
ReplyDeleteAnkal hivi sio ndo umewavuna watu nadhani leo ni April 01, siku ya wajinga vile
ReplyDeleteIts a fools day leo
ReplyDeletetumeshuka kaka leo ni april fool jaribu mwakani kaka
ReplyDeletemh hii sio april fools day????
ReplyDeleteHappy fools day! Ha ha ha ha, mwaka jana mkuu wa wilaya mpya, mwaka huu VOA, ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, umeshawakamataaaaaaaaaaa. Mbavu sina mie ha ha ha
ReplyDeleteMdau Singida
Hope this has nothing to do with the April fools day!
ReplyDeleteIf not so, hongera!
Hivi Mnajua kwamba leo ni "Fools Day"
ReplyDeleteHii ni April fools day.. Michuzi wewe upo Bongo. Hizo picha ni when Kikwete alipokuja USA.. Si unaona bendera ya TZ ipo kwa press conference..
ReplyDeleteIkulu ya Marekani hamna Bendera ya Tanzania wala nchi nyingine..
Kamata bajaji.. wewe mwezetu bado.
SIKU YA WAJINGA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!TEH TEH TEH
ReplyDeleteKila la kheri Michuzi katika siku hii ya wajinga duniani.
ReplyDeleteDuh! Hongera sana ankal. Sasa na wewe umekuwa mbeba mabox sio? usije ukawa umebeba binoculars. teh!
ReplyDeleteMalisa(BG)
siku ya leo ikipita ndio nitaamini. labda ndio fools daya hiyo ankal, ila umewapata wadau wengi sana. yote hii ni kukuonesha kwamba tuko pamoja na wewe, na tunakuombea salama na kazi njema.
ReplyDeleteAmewapata! Bro Michu, umefanikiwa kuwapiga changa la macho wengi leo, hawakujua kwamba kumbe LEO NI SIKUKUU YA WAJINGA
ReplyDeleteAlhamdulillah! Tunasema Mungu ni Mkubwa!
ReplyDeleteAnkal, juhudi huzaa matunda kaka, na Mungu kamwe hamtupi mja. Hongera ndugu yangu. Utuwakilishe vyema huko mjengoni.Ni juzi tu nilikuomba utoe suala la mashimo hapo Mbagala R/3, kumbe umeisha kwaa pipa kaka. Nakutakia mafanikio mema, na Allah akulinde, wabaya wasikusogelee, Inshallah!
Wala usibebe box, we yakishindikana rudi tu kitaani tuendeleze libeneke hapa hapa kwetu, mbona kuzuri tu.
Angalizo: Mashimo tayari yamefukiwa siku Mama Salma anakwenda Nyamisati na Balozi wa Japan - kituo.
Hongera Ankal Kwa kuula.
ReplyDeleteThough kwako ni habari njema sana kwangu nakuwa na hofu kwani nishazoea kupata habari zilizovunjikavunjika muda wowote,na hapa nilikuwa nipo mbioni kukuuliza kuwa kwa nini siku hizi hupost habari kama zamani,kumbe ankal ulikuwa busy huko mastate,haya bana. Msalimie Obama! Mwambie asisahau kuja kunywa chikombe,nadhani hii itasaidia kutengenezwa kwa ile barabara!
wadau mmesahau leo ni siku ya wajinga duniani.
ReplyDeleteHa ha haaa... ANKAL...Ama kweli umewatoa wengi kwenye hii APRIL FOOLS DAY! Hongera sana!
ReplyDeletehongera kaka yangu ila usiache mbachao si unajua glob yako ilivyo muhimu sana kwetu wa tz
ReplyDeletejamani its fools day.....mbona hii comment hamuweki
ReplyDeleteNi kweli siku ya wajinga leo ?sina hakika sana ila naona kama kuchukua nafasi ya Juma Mkamia Haina ukweli kabisa najua wewe ni mpiga picha
ReplyDeleteJamani jamani jamani naomba kuwatakia wadau wote wa blog hii ya jamii happy to be fooled day especially kwa Ankal Misupu kuweza kuwazoa wachangiaji waliopita ambao kwa kweli wameweza kuwa fooled happily..
ReplyDeleteKweli kaka Michu kazi unaiweza mpaka umeleta ma-library na kupata abiria wa kuwa-fool, hii inaonesha ni kwa kiasi gani unakubalika na jamii ya kitaifa na kimataifa!
Mdau kutoka Moshi!!!
Mhhnnnnnnnn......Kama kweli, Hongera sana Mithupu lakiniiiiiiii????
ReplyDeleteIsije ikawa April Fools Day
Mmmmmmmmh!hizo picha mbona kama zimepachikwa ankal?
ReplyDeletenona umewapata wengi,happy foolish day ankal!
Hahahaha.... Ngoja nicheke kwanza... Maelezo badae. Kazi njema wana globu ya jamii
ReplyDeleteSIKU YA WAJINGA HADI SASA UMEPATAWAJINGA TISA AMBAO WAMEKU SUPPORT , MASKINI WEWE UMEWAPATA KWELI
ReplyDeletejamani leo sikukuu ya wajinga....khaaa....mmepatwa wengi kweli
ReplyDeleteduh ankal kawapa kweli... eti ohhh hongera sana... siku ya wajinga. wajanja hatudanganyiki!!!
ReplyDeleteApril the 1st joke.
ReplyDeleteWabeja.
Asalaam alaykhum ankal, Hongera sana kwa mafanikio inshaalah mola atakulinda na uendelee kupaa zaidi katika ulimwengu wa habari.
ReplyDeleteWajina
Chef Issa
hongera ankal, be blessed
ReplyDeleteApril fools days tehe tehe tehe.... Wajinga ndo wanaopatikana siku huu ukiwasubiri kona tu wanatokea...
ReplyDeleteAhhhhh! michuuuuu!! naamini u-ccm utakutoka au kupungua u will be thinking internationally not locally.
ReplyDeletehongera mkubwa!!!!
ReplyDeletehii kama April fool flani hiviiii
ReplyDeleteTEH TEH TEH...
ReplyDeleteDANGANYA TOTO...CKUKUU YA WAJINGA HUMPATI MTU ANKAL...
Mh leo siku ni ya wajinga!
ReplyDeleteHappy fools day!
ReplyDeletesiku ya wajinga hio
ReplyDeleteHongera sana ankali wetu wa ukweli mungu akuzidishie nafasi za juu zaidi ili tupate habari na matukio zaidi tunakubali kuwa wewe ni muongoza jahazi la libeneke oyeee bongonl inakutakia kazi njema na maisha mema na familia ameen.
ReplyDeletebongonl.
siku ya wajingaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteApril Fool's Day!!!!
ReplyDeleteapril fooooooooooooools day
ReplyDeleteCongrats!
ReplyDeleteKAKA HII TAARIFA UMEITOA SIKU MBAYA SANA KWANI NI TRH 1/APRIL NI SIKU YA WAJINGA DUNIANI NA KAMA ULIVYOWAPATA HAO WATOA COMMENT.KAMA NI KWELI BASI HONGERA SANA.
ReplyDeleteMDAU
Michuzi!!! Leo ni siku ya wajinga
ReplyDeleteleo si ni siku ya wajinga jamani?
ReplyDeleteHAHAHAAA SIKUKUUU NJEMA ANKAL!(1Aprili)
ReplyDelete1 April...
ReplyDeleteheheheehe foools day yako serius kweli kweli
ReplyDeleteit is April Fools Day ~ Good luck
ReplyDeleteCongratulations and God bless
ReplyDeleteWakatabahu
Félicitations!! Pamoja na habari toka sebuleni kwa Obama, tunaomba kasi ya nyuz za bongo liendelee kama kwa!
ReplyDeleteTout le meilleur,
Mdau, Geneva!
SIKU YA WAJINGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeletemnh!!! hizi habari sio kwamba ni za 1st April fools day!!!!
ReplyDeleteLEO NI SIKU YA WAJINGA DUNIANI.KAWAPATA KWELI.
ReplyDeletebinafsi nimefurahi kuona umepata nafasi hii bro karibu sana huku wengine tumezamia.wengine tumekuwa tukisoma michuzi kila siku kupata kujua kinachoendelea back home.kwa kazi nzuri ulikuwa unaifanya i hope team uliyo iacha itaendeleza kazi hiyo.sijawahi kukuona but i feel like i know you very well.natumai one day tutakuona kwa macho star wetu,haa celebrity wetu.pooowa.again karibu sana ugenini kwetu kwa mr mkenya.haa obama.
ReplyDeleteSiku kuu ya wajinga hiyoooooo....umewapata
ReplyDeleteSuccess Is A Result Of Deeds And Not Dreams.
ReplyDeleteHONGERA SANA - I FEEL LIKE ........AAHAMMM........ THATS ALL.
PRINCE SAB - WERRASONIQUE
APRIL FOOL'S DAY
ReplyDeleteLeo ni tarehe 1 April. Umejua kuwapata watu.
ReplyDeleteMh! Ankal, mie napatwa wasiwasi, maana leo ni SIKU YA WAJ....
ReplyDeleteSection ya waandishiwa habari wanaofuatil;ia speech yako mbona hujaweka? Kweli leo sikukuu ya wajinga.
ReplyDeleteKumbukeni leo ni 1st April.............
ReplyDeleteApril fools day....Ankal naona umewapata wajinga wachache
ReplyDeleteAcha hizo michuzi, au kwakuwa leo ni siku ya wajinga.....
ReplyDeleteWADAU MLIOTOA MAONI HAPO JUUU KUMPONGEZA MICHUZI IMEKULA KWENU.HAMNA TOFAUTI NA WALE WAJINGA WAPANGA FOLENI KWA AJILI YA KIKOMBE CHA BABU.
ReplyDeleteMDAU KAMANDA TOKA UGHAIBUNI.
HIVI HAMJUI LEO NI APRIL FOOL...WABONGO BWANA,NA HONGERA JUU..LOL
ReplyDeleteBendera ya Tanzania inafanya nini ofisini kwa Hilary Clinton? April FOOL. Mie hata hujanipata..
ReplyDeleteUncleeeeeee!
ReplyDeleteNaona umeamua kuhusisha mambo ya 1st April na jumbe jeupe sasa!!
Ankal umewapata hao siku ya leo ila siyo mimi. Is not a fool day today??
ReplyDeleteha haha !!
Ankali Michu.... kweli!!!!? au ndio unatufanya wajinga sisi with your 1st of April pranks!!
ReplyDeleteUtanisamehe.... HONGERA yangu itasubiri 24hours.
Auncle michuzi,leo ni siku ya wajinga kaka.Nimekukamata
ReplyDeleteWWW.LOCUSIMPEX.COM
happy fools day ankal
ReplyDeleteapril fullllllllllll.
ReplyDeleteHONGERA SANA MKUU. HAYO NDO MAMBO. BINAFSI NAKUTAKIA KAZI NJEMA NA UWE MWAKILISHI MZURI WA WABONGO. Mdau wa Australia
ReplyDeleteHi watanzania tuna matatizo gani jamani? tuko kama wanyama poli tunafuata sana mkumbo bila kutafakari. Hii habari ya Michuziikija kesho nitampa hongera lakini si leo siku ya wajinga. Imagine lugha au radio na TV zote za duniani ziliport kutoka white House, kutajaa sana. siyo? Michuzi anasifa kiasi za kuriport kukokea white house lakini sikubaliani na habari hii mpaka hapo kesho. Ninajua kuna uwezekano watu wengi wameliona hili lakini Bwana Michuzi amezuia posts zao ili kuwa-encourage wajinga wa leo kujinafasi. Michuzi please niwekee hii. Tafadhali.
ReplyDeleteZISIJE ZIKAWA KAMBA. TAREHE YA LEO SI UNAIJUA -SIKU YA ......WEREVU. ILA KAMA NI KAMBA IMESUKWA VIZURI.
ReplyDeleteMICHUZI LEO NI SIKU YA WAJINGA 1st April , HUWEZI KUTUPATA WENGINE
ReplyDeleteSIKU YA WAJINGA NYIE MSIKURUPUKE KUTOA HONGERA..WAJINGA NDIO WALIWAO....!!!
ReplyDeletehappy fools day.......hahaaaa mithupu
ReplyDeletemmh!siku ya wajinga leo,kalagha bao!we ankal hizi picha mbona ni za mwaka juzi ulivyokuja na msafara wa rais huku!?hao unaowaeleza habari za kikombe cha babu mbona hatuwaoni!!???
ReplyDeleteBut hongera kwa kuingia ikulu ya Obama ankal.
Ankali siku uliyotumia (tarehe moja mwezi Aprili!) kutanga hii kitu ni ya utata kidogo, isije ikawa unatupeleka pori!
ReplyDelete