Meneja wa Ghala la Kuhifadhia Bia wa TBL tawi la Mbeya,Bw. Innocent Mwaimu akimkabidhi makaratasi ya vibali kwa dereva wa Lori lililokuwa likisafirisha bia aina ya Castle lager kwenda nchini Zambia,Bw. Edson Ndanga ikiwa ni usafirishaji wa kwanza kwa bia hiyo kwenda nchi hiyo ya jirani. Makabidhiano hayo yalifanyika siku za hivi karibuni katika kiwanda cha bia Tanzania,tawi la Mbeya siku za hivi karibuni.kulia ni utingo wa Lori hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Big UP TBL. The biggest tax payer in Tanzania! That's the spirit!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...