Afisa Mkuu wa Idara ya watoa huduma na Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano, Thadayo Ringo wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akiwasilisha mada katika semina kuhusu haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano iliyofanyika Ikwiriri Wilayani Rufiji, mkoani Pwani.Semina hiyo ilihusisha makundi mbalimbali katika jamii.

Mimi naona mambo ya semina yameshapitwa na wakati. hayawafikii watu wengi. Tumieni vyombo vya habari kuelimisha umma. Hizo hela za kufanya semina mngezitumia katika kutoa matangazo. Semina tumeziona toka tunazaliwa lakini mavitu yotwe watu wanayofundishwa wala hakirudi walikotoka hawakumbuki walichoelezwa kwa vile wengine semina hizo hawaendi kujifunza kitu wangine wanaenda kama vacation tu...
ReplyDeleteTubadilike na wakati...Tusikalie kufanya vitu vile vile vilivyofanywa miaka ya 60...
Send a text to all users instead....