Ndugu Wanachama,
SIKU YA MWISHO YA KUCHUKUA FOMU ZA UONGOZI NI
JUMAPILI, MAY 8, 2011.
TAREHE YA UCHAGUZI NI JUMAPILI MAY 22, 2011. KATIKA UKUMBI WA 2200 TANGLEWILDE HOUSTON, TX. 77063, KUANZIA SAA 8 MCHANA MPAKA SAA 4 USIKU.
Kwa kukumbushia tu nafasi zitakazogombaniwa ni hizi zifuatazo;
Mwenyekiti wa Tawi na,
Wajumbe kumi wa Halmashauri kuu ya Tawi.
Kwa wale wanachama wanaoishi mbali na mji wa Houston,TX. Kamati ya uchaguzi inafanya utaratibu wa kuwawezesha kupiga kura mapema (early voting), mara tu majina ya wagombea wote yatakapojulikana.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na kamati ya uchaguzi katika ccmmarekani@gmail.com au ingia http://ccmmarekani.blogspot.com
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI,
Abdallah Nyangasa
Kaimu Katibu Mkuu,
CCM-Marekani.

Kaka
ReplyDeleteNaomba kupata kujua viongozi wa tawi la Chicago
Mbona CHADEMA NA CUF hawana matawi Ughaibuni?
ReplyDeleteHizi habari za kuanzisha matawi ya vyama vya siasa ugaibuni ni upuuzi mtupu na zinaweza hata kuleta kutokuelewana wenyewe kwa wenyewe,tumekuja kutafuta maisha huku ili tuweze kujikwamua kutoka katika umasikini uliopo nchini mwetu,nawashangaa hawa wenye muda wa kushughulika na vyama vya namna hii,ikiangalia kwa makini vyama hivi hivi ndivyo vinavyolalamikiwa kwa ufisadi na kusababisha maisha kuwa mabaya nyumbani,na ndiyo maana tukakimbilia huku ugaibbuni,hatupendelei kuishi huku ila ni maisha mabovu ndiyo yanatukimbizia huku,Halafu unasikia watu wanaleta mambo ya chama ugaibuni,huu ni upuuzi mtupu,tumieni nguvu zenu kutafuta maisha kama ni vyama ni nyumbani ambako watu wana muda wa kupoteza.
ReplyDeleteMtoa maoni Ugaibuni.
Marekani kubwa, unaposema tawi la CCM Marekani unamaana gani na unajaribu kumdanganya nani? Just say tawi la CCM Houston or TX but not Marekani.
ReplyDeleteTafakari - CCM Marekani haina gamba la kujivua???????
ReplyDeleteHatutaki upuuzi wa vyama ugaibuni,maana hasa hasa tutajikuta tunatetea mafisadi tu,hakuna mjinga anayetaka mambo ya vyama vya kisiasa huku.
ReplyDeleteUgaibuni.