Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera sana waandaaji wa hii kitu na kaka Ankali pogezi kwa kutuwekea video hii kuonesha kwamba kumbe watanzania wanaendelea kufaidi amani, tofauti na propaganda zinazoendelea kuwa mambo si shwari. Yaani hii inatupa faraja sana sie wa nje kwani matumbo huwa joto sana tukiona ama kusoma mambo ya vurugu na maajali yasioisha.

    Najua kuna mabeba boxi majuaji yakiamka yataanza kuponda kuwa oohh huu ni utaahira. Achaneni nao hao maana kwao hakuna jema hata mfanye nini. Ukiyauliza leteni alternatives hayana, yanakodoa mimacho kama chura kabanwa na mlango. Kupenda timu kubwa za Ulaya hakujaanza na wala hakuko Tanzania peke yake. Hapa Dubai pana Dubai Reds ambao ni mashabiki wa Bwawa la maini, ukienda India, china na kwengineko mambo ni hayo hayo. Hivyo msikatishwe tamaa na mabeba boxi yaliyokata tamaa za maisha na kuelemewa bili za kila mwezi na kutaka kuwatoeni raha. Nasema endeleeni kula raha wanangu.

    Mdau Old Dubai

    ReplyDelete
  2. Dah! na kweli nimeamka na nimekuta hiyo... wewe unafikiria nini.. mnatambulika kwanza huku wanawajua au basi... je mnachangia hata kitu chochote au au basi ..ili mradi mjifurahishe.... nuko dubai si kama mwenge au sinza tu.... kafie mbele huko!!! jipeni raha wenyewe wakati maheeeeela yanaingia kwa wengine...hahahahahahah!.tutabaki kuwa kichwa cha mwenda wazimu mpk dunuia inaisha.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...