Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka Shada la Maua kwenye kaburi la Mama Mary Kone, mke wa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Ole Kone katika mazishi yaliofanyika Monduli jana.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Ole Kone akiweka shada la maua kwenye kaburi la mkewe,Mama Mary Kone katika mazishi yaliyofanyika Monduli jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...