Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua pikipiki ya miguu mitatu ambayo imetengezwa ili kumudu kazi ya kuzima moto hasa kwenye maeneo yenye barabara nyembamba katika maonyesho yaliyoandaliwa na kampuni ya Spray and Fumigation Services Limited, Bungeni Mjini Dodoma leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. tunashukuru kwa zimamoto je huko wankokwenda kuzima moto kuna maji? kwani tatizo kubwa kwa sasa siyo kuzima moto tatizo ni je kuna maji? kwani tumeshuhudia magari yanakuja kuzima moto bila bila maji.

    ReplyDelete
  2. TAFADHALINI SANA MUACHE DHARAU NA MOTO, HIVI GOROFA LA JUU PALE FAYA LIKIWA LINAWAKA HIKI KIBAJAJI KITASAIDIA NINI? TAFUTENI FEDHA MNUNUE GARI LA KUZIMIA MOTO.HIYO BAJAJI WAPENI MAAFISA WENU KAMA FIRST AID,

    ReplyDelete
  3. Kwa hiyo ukipiga siku kuita zimamoto itabid useme unaishi kwenye barabarab nyembamba au kubwa. Na sijui ikienda kuzoma gorofa 4 itaweza hii. It's like a toy...

    ReplyDelete
  4. Nimecheka, mbavu zinauma... Vitimbi hivi mpaka lini?
    Baiskeli za wagonjwa vipi zimeshafika?....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...