Meneja Masoko na uhusiano wa kampuni ya Bayport Bw. Ngula Cheyo, akipokea cheti cha ushiriki kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Pwani Mhe. Halima Kiemba. Bayport ilidhamini Chama cha Walimu mkoa wa pwani katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi.
Meneja Masoko na uhusiano wa kampuni ya Bayport Bw. Ngula Cheyo, akiwa na baadhi ya wafanyakazi kutoka mkoa wa pwani katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi ambapo Bayport ilidhamini chama cha walimu.

Wafanyakazi hodari kutoka mkoa wa pwani wakiwa wamepokea vyeti na kombe katika siku ya kuazimisha siku ya wafanyakazi, Bayport ilidhamini chama cha walimu katika siku hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...