Mkurugenzi wa Masoko na utafiti wa Benki ya CRDB Bi. Tully Esther Mwambapa akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bw.John Mongela msaada wa madarasa mawili yaliyokarabatiwa, madawati na viti 84 vilivyotolewa na Benki hiyo kwa shule ya sekondari ya Mwananchi ya mjini Kigoma. Kulia ni Meneja wa Tawi la CRDB Kigoma Bwana.Israel Elinisafi Msaada huo unathamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na sita.Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bw. John Mongela akikata utepe kuashiria kufunguliwa kwa madarasa mawili ya shule ya Sekondari ya Mwananchi pamoja na madawati yaliyotolewa na Benki ya CRDB.Madarasa hayo yamekabidhiwa leo na Mkurugenzi wa Masoko na utafiti wa Benki ya CRDB Bi. Tully Esther Mwambapa katika hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...