Mkurugenzi wa fedha wa benki ya NMB Bw. Waziri Barnabas, akimkabidhi mpira mwanafunzi wa Shule ya Msingi Unubin Agatha Gervas ambao ni mmoja ya mipira elfu nne mia tano pamoja na jezi kwa timu za vijana ambavyo  benki hiyo imetoa kwa shirikisho la soka TFF katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Karume jijini Dar
 Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa Kanali mstaafu Iddi Kipingu akiishukuru NMB kwa msaada huo na mingine mingi ambayo imekuwa ikitoa katika kuendeleza michezo nchini
 Rais wa TFF Leodegar Tenga akiishukuru Benki ya NMB kwa kuendelea kulisaidia shirikisho hilo

 Afisa mawasiliano wa benki ya NMB Josephine Kulwa akiongea wakati wa hafla hiyo
 Juu na chini ni baadhi ya wachezaji wa timu za vijana zilizonufaika kwa misaada hiyo ya NMB

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...