Viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), wakiongoza maandamano ya amani ya chama hicho, katika mfululizo wa maandamano katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, yaliyofanyika mjini Songea leo
Maelfu ya wananchi wa mji wa Songea na vitongoji vyake, wakiwa katika maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyofanyika mjini Songea na kufuatiwa na mkutano wa hadhara
Viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), wakiongoza maandamano ya amani ya chama hicho, katika mfululizo wa maandamano katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, yaliyofanyika mjini Songea (Picha na Joseph Senga)


CHADEMA UCHAGUZI UMEPITA,BADO MNAANDAMANA NINI BARABARANI KUZUIA WANANCHI KUFANYA KAZI? SUBIRINI 2015 UCHAGUZI.
ReplyDeleteJitahidini hivyohivyo bado mnakazi kubwa sana ya kujitangaza chadema msilale chama bado kidogo sana.
ReplyDeletePeople's power!
ReplyDeletehivyo ndivyo inatakiwa Chadema.
ReplyDelete