Pochi ikiwa imevishwa sare ya kumeremeta kwa Da' Emmy Maokola Majogo na Dr Michael Fakhi wikiendi hii jijini Dar es salaam. Maharusi walimeremeta katika kanisa Katoliki Boko na mnuso ulikuwa hoteli ya Giraffe

Zawadi kwa bwana harusi toka kwa  mashemeji

Da' Emmy na Dr Michael baada ya kumeremeta

Rais Mstaafu Mh. Benjamin William Mkapa awaongeza maharusi

Da' Emmy na Dr Michael wakitoa zawadi kwa waliohudhuria

Maharusi wakata keki

Chiaaaazzzzzzzz....
Da' Emmy na mai hazbedi wake Dr Michael
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2011

    Wemependeza, nawatakia kila la kheri.
    Misupu umekosea jina la MKAPA umeandika MKAA badala ya MKAPA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2011

    jamani wamependeza sana, nice couple! jamani ni mie nataka mthunguuuuuuuuuuuuu awwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2011

    Congratulations to dr M Fakhi and Emmy. May God bless your union. Amen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...