Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mkewe Mama Zakia Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mahadhi Juma Maalim kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanaza wa Rais Zanzibar, Fatuma Fereji, kabla ya kuelekea Uwanja wa Igol Square, kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Nigeria, Dkt. Goodluck Ebele Azikiwe Jonathan, aliyeapishwa leo Mei 29 jijini Abuja Nigeria. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Home
Unlabelled
DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA NIGERIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...