
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 27 wa Serikali za Mitaa (ALAT) katika hoteli ya Kunduchi Beach Jijini Dar es Salaam ambapo Benki ya CRDB ilikuwa ni mdhamini. Katika Mkutano huo Dkt. Kimei aliahidi kulipatia ufumbuzi suala la Mikopo kwa madiwani. Kushoto ni Mwenyekiti wa Muda wa Kikao hicho Mstahiki Amiri Juma Nondo, Meya wa Morogoro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...