Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi (Hesabu za Serikali) Zanzibar, wakati walipofika Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo na kumsalimia baada ya kumaliza mafunzo ya siku nne ya kamati hiyo kuhusu Usimamizi na Matumizi ya fedha za Serikali yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi (Hesabu za Serikali) Zanzibar, baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam leo.wajumbe hao walikuwepo jijini Dar kwa mafunzo ya siku nne ya kamati hiyo kuhusu Usimamizi na Matumizi ya fedha za Serikali, yaliyomalizika hivi karibuni. Picha na Muhidin Sufiani-VPO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2011

    Brother Michuzi na wadau, mimi naomba niulize kwa wale ambao mmewahi kwenda Ikulu...Hivi kule kuna vazi linatakiwa au unavaa unavyotaka.

    Kwasababu naona mshikaji kwenye picha kapiga sandles tu, tena yuko karibu na makamu wa rais. Inawezekana hakuna dress code ila nafikiri tunahitaji tuweke unwritten rules za kuheshimu baadhi ya maeneo

    Ni wazo tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...