Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi wa Skuli ya Maandalizi ya Bweleo,wilaya ya Magharibi,jimbo la Dimani,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi kuangalia shuhuli za maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Bi Zainab,wakati alipotembelea Maabara ya utafiti wa wadudu wanaoharibu mazao, Chuo cha Kilimo Kizimbani jana,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Chuo hicho,kuangalia shuhuli za maendeleo,katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa mwalimu Foum ,wakati alipotembelea Chuo cha Kilimo Kizimbani jana,akiwa katika ziara ya kutembelea Chuo hicho na kuona shuhuli mbali mbali katika Mkoa Mjini Magharibi.
PICHA NA RAMADHANA OTHMAN IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...