Baba mzazi Mzee Maokola Majogo akimsindikiza binti yake Emmy kwenda kumeremeta na Bw. Michael Fakhi huko Hawaii, Marekani
Ndoa inafungwa ufukweni mwa bahari

Maharusi baada ya kumeremeta

Picha ya pamoja ya familia zote mbili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2011

    jamani emmy umependeza sana dear hongereni. duh ngoja nami nitafute mthungu kaa. nimechoka kulala pazia wazi lol! u know what I mean!

    ReplyDelete
  2. Kweli wana nyuso za furaha. Hongera! Zaeni Matunda Mema!

    ReplyDelete
  3. Ze MARAKATASIZZZZZZZZZZZZZ!?!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2011

    Duuu hata kusimama tu inaonyesha mtengano wa rangi je hapo baadaye si itakuwa utumwa?. Kwa wanaumme wanaoa hao ndugu zetu wanawekewa ratiba ya kurudi nyumbani, kufuata mtoto shule na upishi na kufokewa ukichelewa amaa kweli mnayaweza. Pole mzee wetu Majogo

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2011

    hongera sana mdogo wetu, mungu akuongezee. Mzee majogo looks very happy, u deserve it baba yetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...