Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wakati wa Semina elekezi inayoendelea mjini Dodoma
Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa hoteli ya St.Gaspar mjini Dodoma ambapo Rais Kikwete alifungua semina elekezi kwa Mawaziri, Makatibu wakuu na viongozi waandamizi serikalini.
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya(katikati) akiteta jambo na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya St.Gaspar mjinji Dodoma ambapo semina elekezi ya Mawaziri,makatibu wakuu na viongozi wa ngazi ya juu Serikalini inafanyika.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wataalamu kutoka Benki ya dunia na Shirika la Fedha Duniani IMF waliotoa mada mbalimbali wakati wa semina elekezi kwa Mawaziri,Makatibu wakuu na viongozi waandamizi serikalini inayoendelea katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya St.Gaspar mjini Dodoma.Picha na Freddy Maro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2011

    Rais Kikwete. Dr. Kikwete, Mheshimwa Kikwete, Mwenyekiti Kikwete. Jakaya Kikwete, Mchanganyiko wa taito unaboa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...