Rais Dr.JakayaMrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Barabara ya Usagara Geita leo asubuhi.Barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 90 imejengwa kwa thamani ya zaidi Tshs.78bn/ zilizotolewa na serikali ya Tanzania.Wengine katika picha, Kutoka Kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,Katibu Mkuu Ujenzi Balozi Herbert Mrango,Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli, Mbunge wa Misungwi ambaye pia ni naibu Waziri Sayansi na Teknolojia Charles Kitwanga na Mkurugenzi Mkuu TANROADS injinia Patrick Mfugale.Picha na Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...