
Wanajumuiya wakufurahia matokeo ya uchaguzi katika
mkutano wao uliofanyika nyumbani kwa balozi huko Mt Vernon, New York
Balozi wetu katika Umoja wa Mataifa Mh. Ombeni Sefue (kati) wakiwa na uongozi mpya wa jumuiya ya watanzania waishio New York, New Jersey na Connecticut. Toka shoto ni Shaban Mseba ambae ni naibu katibu, Dr Mariam Abu ambae ni naibu mwenyekiti, Mwenyekiti Hajji Khamis akiwa na mtoto wake akimpongeza baba yake kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuhia hiyo. Anaefuatia ni balozi Mh Ombeni Sefue, akifuatiwa na Katibu Vincet Mughwai, mtunza hazina Philip Lwiza na msaidizi wake Mzee Temba. Picha na mdau Ebra Nyagaly wa Globu ya Jamii New York City.
.


Pongezi sana wana New York kwa kupiga hatua.
ReplyDeleteMSAADA TAFADHALI
ReplyDeleteHello kaka Michuzi,
Pole na kazi za kila siku, pia ninakupa hongera kwa kuweza kutuhabarisha kupitia blog yako hii. Ninakuomba sana kaka yangu unisaidie kunitangazia hili.
Mimi ni mtanzania ninatarajia kujiunga na masomo yangu nchini Norway Oslo 2011. Ningeomba kupata angalau mwanga kuhusu mambo muhimu kama vile ushauri kuhusu nyumba gani za wanafunzi(kwani ziko nyingi) ninaweza kuapply, na taarifa zingine muhimu kuhusu hapo Oslo. Nitashukuru sana kama nitapata taarifa hizi muhimu kutoka kwa watanzania wanaoishi hapo Norway Oslo.
Ni matumaini yangu kuwa nitapata taarifa hizi muhimu. Kwa yeyote atakaeguswa kunisaidia naomba aniandikie kwenye email :miriamulight@gmail.com
Ninashukuru sana kwa wale wote mtakaonisaidia katika hili.
Ni mimi mdau.
Good.honereni sana
ReplyDeleteInakuwaje blog ya jamii inakuwa na updated news kabla ya website yao?
ReplyDeleteHizi jumuiya zinazocover sehemu kubwa hivi sio rahisi kufanikiwa. Huku mitaani kwetu tuna jumuiya local ambazo watu wanakutana na kusocialize jinsi wanavyoona interest zinafanana na mara jumuiya inatokea. Ingawaje hazijitangazi lakini tunasaidiana sana kwa hali na mali. Hiyo hapo mngejitahidi kusema local jumuiya zilizopo NY, NJ na CT zirume wawakilishiwao mmoja u wawili halafu iundwe mama wa jumuiya zote. Kwa maana hapo itaitwa jumuiya ya NJ, NY & CT lakini sioni hata mmoja anayeishi nje ya NY hapo. I could be wrong lakini this will be a big turn off for people to join. Kama hawana ya kwao hapo NY hii wangeeiita jumuiya ya NY city.
ReplyDeleteYou know tutajiunga jumuiya ngapi? Na kujoin jumuiya sio free na mtu anaangalia baada ya kujiunga nikipata matatizo ni nani watanijali?
Michuzi sina hakika kama Balozi wa Tanzania kwa Umoja wa mataifa anaishi MT Vernon, nafikiri ni huko Westchester ambako nimeshafika na kuhudhuria mkutano alipotembelea President Mkapa na kuongea na Watanzania enzi zake. Labda huko Mt Vernon ulifanyika mkutano lakini Jumba la Tanzania katika ardhi ya marekani anakoishi balozi wetu ni Westchester nje kidogo ya jiji la Ny kama unaelekea CN vile.
ReplyDelete