Home
Unlabelled
JUMUIYA YA WATANZANIA (TANZ-UK) IKISHIRIKIANA NA UBALOZI UK YATANGAZA DIASPORA III
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Leading, laisi, uingeleza
ReplyDeleteit's so shame to see a big man can not distinguish between r and l.
ReplyDeleteajila,inje...
ReplyDeleteMhasibu msaidizi wa tanzania leading uingeleza nawaomba watanzania mchiliki kumuuunga mkono laisi wetu.. watu watafaidika kwa kupata ajila....
ReplyDeleteits a shame kwa watanzania kuwa mnapoteza mda mwingi kukosoana kwa vitu vya kijinga ambavyo vimejaa chuki, upumbavu na havileti maendeleo yoyote. Hapa suala sio lugha au nani kaongea vizuri ni ujumbe JE UMEUPATA AU LA? kuna ishu ya DIASPORA ambayo inamhusu kila mtanzania yoyote aliyekuwa Ughaibuni kwa manufaa yake binafsi na jumuiya kwa ujumla . Vilevile Hujalazimishwa kuja kwenye mkutano huu kama hutaki.
ReplyDeleteHATUPO HAPA KWA KUKOSONANA AU KUPROVE THE POINT ILA TUPO HAPA KWA KUPENANA HABARI NYETI KWA MANUFAA YETU WOTE, ILA CHA KUSIKITISHA INAONYESHA JINSI GANI ANONYMOUS KUANZIA WA KWANZA MPAKA WA TATU MLIVYO KUWA NA UPEO MDOGO PAMOJA MTINDIO WA KUFIKIRIA.
CHUKI , NJAA NA FRUSTRATION ZENU MSIMTOLEE ALIYEJITOLEA KUONGEA NA KUWAHAMASISHA WATANZANIA WOTE.
KAMA WEWE NI HODARI WA KUONGEA BASI WASILIANA NA SISI TUKUPE JUKWAA. NI MATUMAINI YANGU KUWA BAADA YA KUSOMA UJUMBE HUU HUTAPOTEZA MDA WAKO KUJIBU UTUMBO ZAIDI NA BADALA YAKE UTA WAHAMISHA WENZAKO MLIOKO UK MJE KWENYE MKUTANO WA DIASPORA III
Asante kwa ushirikiano wenu
Frank Eyembe
URBAN PULSE CREATIVE
urbanpulsecreative@googlemail.com
duh si mchezo kiswahili kumbe kigumu leading,laisi na uingeleza hawa watakuwa watu wa reading tu wengi wao wametuka bara hata kiswahili shida kwao
ReplyDeleteda kiswahili kasahau nini au ndio kukaka majuu huko??
ReplyDeleteBwana Eyembe hii blog ni ya humour vile vile usitupeleke puta kama mwalimu mkuu wa primary. Wewe ndio mwenye upeo mdogo kwa kuwatukana watu "wapumbavu". Tanzania tabia ya utani ni kawaida na katika wote waliotania hakuna aliyetukana, ni wewe tu! Kwa hiyo kama ni chuki na frustration labda unazo wewe. Mi nimekuwa natembelea sana hii blog na mara nyingi napata habari na vile vile kucheka. Hiyo video yako watu wameiona na ujumbe wameupata lakini wewe usifunge watu midomo kutaniana sababu wewe si mwalimu mkuu wa shule wa msingi, sisi si wanafunzi wako na cha zaidi HII BLOG SI YAKO! ANZISHA YAKO uweke hizo restrictions! Na hakika aliyetaniwa atachukulia mambo lighly sababu tunajua Tanzania kuna watu wenye tatizo la kutamka "R" na "L"
ReplyDeleteKazi msuri, bebeni boxi hizo, sisi tunataka maela.
ReplyDeleteEti chuki na njaa, na frustration, Haya unawasaidieje kama wana njaa? Hakuna alieomba chakula hapo yote yaliyoandkwa ni kweli, wewe ndo unaleta Jazba Watanzania wameadika wenye huzuni wacheke na ndo maana tunafugua comment kufurahi.Do you think kila mahali kuna watu waliofanana and is shame to you to think in everything you want to do everyone will accept. Ndo maana kuna challenge nyingi duniani ila una uwezo wa kutufanya tukukubali hata kama unatueleza ujinga. So we ungenyamaza tuione hekima yako. Anyway pole, unaonyesha umepata hasira kwa usiyemjua, maskini unajiumiza bure walioandika wamekwisha andika.
ReplyDeletenyiieeee acheni kelelee zenuu majunguuu tuuu hamuishi...hebu tazameni warembo hapo kulia kwenye ad ya SILVER BOUTIQUE..!!
ReplyDeleteBabu la Pwani..!!
Looh watanzania kazi tunayo hakuna kitu tunachoweza kukifanya kikawa kizuri. Asante kwa ujumbe tukipata nafasi tutahudhuria hakuna shida. Lakini makosa pia tuyaseme tu, na mengi yako kwenye hiyo film sijui tangazo (naona na hapa mimi nitakosolewa), watu wamekuwa kama wamekurupushwa matokeo yake wamekuwa 'tense' na kutamka vitu vya ajabu. Ni yule dada na wakaka wawili naona ndio wamejitahidi kuwa straight, sasa hilo ni somo kwa huyo producer, first do your job with perfection ndio uanze kuita watu wapumbavu.
ReplyDeleteKuchanganya R na L tanzania ni kawaida kutokana na lugha zetu nyingi, 123 tribes sio mchezo kufit mother tongues kwenye kiswahili, so ilitakiwa wawekwe sawa na warudie mara kwa mara. Hao waliowashambulia sana kwa matamshi warudi nyuma waangalie ndugu zao unaweza kuta hata wapenzi wao wanaongea hivyo, who knows. Kukosoana na kucheka kupo lakini kuwe na manufaa, huwezi ukawa wewe kazi yako ni kufurahia watu wakikosoa, inaonyesha jinsi gani wabongo tulivyo na akili finyu za kutokutambua mambo gani yafanyike wakati gani na wapi.
hahahahahahhahahahah i lv it. wabongo oyeeeeeeee!!!!!maneno mengii ila msikose kuhudhuria akhaa!!!
ReplyDeleteHii promo sijui kama itaengeza mtu kwenda huko. Maoni yangu ni kuwa ungeweka hint za hiyo mikutano iliyopita. Mafanikio ni yapi na nini kilifanyika. Umuhimu wa huu mkutano ni kukutanika au kusocilize tu. Kama kuna faida za mikutano ya nyuma au waliohudhuria nyuma nini wamegain basi ungeweka hapa hiyo ingesaida mimi ambaye sijahudhuria hata mkutano mmoja nione ninachopitwa. Hapa inanionyesha vingine kabisa ingawaje watu wanasema manufaa manufaa lakini huoni mnufaa hata moja wanalolitaja. Taja manufaa in practical ...kama tumeweza kufanya huu mkutano na walioshiriki waliweza kukutana na watu hawa na hawa na baadaye wakaweza kuelekezwa jinsi ya kufungua kitu fulani Bongo etc etc.Mifano hai inauza kuliko maneno
ReplyDeleteHalafu kitu kingine usijibishe watu on line wanaoenda kwa anonymous. Hao watu wako si ajabu nchi nyingine lakini unapojibu kwa ukali au nini inafanya waliokaribu wakuelewe kabla hata hawajafika na kujiuliza kulikoni.