

Mlinda mlango wa timu ya soka ya Mkoa wa Manyara, Ally Mohamed ( jezi zambarau) akijiandaa kuokoa mpira wakati ilitotokea heka heka langoni mwake katika mchezo dhidi ya Mkoa wa Morogoro, Moro Stars , katika mashindano ya Kili Taifa CUP , Kituo cha Morogoro uliofanyika jana kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini hapa, Moro Stars ilishinda bao 1-0. Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro


Mbona viwanja vyeupe nyie TFF?i.e Hakuna watazamaji wa kutosha...Enzile zile Mwanza Heroes Vs Mzizima United au Rwelu Eagles Vs Mapinduzi Stars...weeeee.Haya Mashindano yaendelee kufanyika Mkoa hadi mkoa kama zamani..Pliiz TFF
ReplyDeleteBwana John Nditi Safi sana kwa picha...CC wengine tuko mbali na Moro.
David Villa