Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2011

    Ni bora tu umetoka, stupid girl. Ulikuwa ni full aibu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2011

    Huyu Lotus ni ghetto fabulous kabisa, I am not sure if she is a girl! msichana asiekuwa na aibu au adabu kama hakutoka Africa!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2011

    umetia aibu ni umetuaibisha lol!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2011

    Siku zote kama mtu utajiheshim basi na wewe utaheshimiwa. Sasa binti yeye alikuwa anaropoka tu matokeo yake akatoa mwanya kwa huyo jamaa kumdhihaki.
    Bora kama huna cha kusema kaa kimya tu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 23, 2011

    huyu binti ni mpuuz ni bora kajirudisha mwenyewe mapema.

    mtu gani mwanzo tu anaanza kwa kumchagua mwenzie atolewe ili abake pekee yake...sheeeeeeeeee!

    mnet tanzania pitieni upya vigezo vya kuchagua hawa wawakilishi tupate wenye senses zao badala ya kuchagua watoto wa mitaani wanaishia kutuletea aibu tu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2011

    yaani kwa kweli huyu lotus toka siku ya kwanza alikuwa anaonekana ataleta aibu tu kwa Tz,,lazima mtu uwe na utamaduni wa kwenu sio kuiga mambo ya watu matokeo yake unakuwa kituko,,yaani imetuhuzunisha tulio wengi ukizingatia TZ tuna rekodi nzuri tu big brother...

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2011

    Lotus uko juu, hivi ndivyo wanaume wakware wanatakiwa kufanyiwa. Naelewa hujakulia Tanzania, unatabia zote za wanawake wakiswid, haki mbele na hakuna kubabaishwa wala kunyanyaswa kijinsia na mtu. Hao wanaodai hukutoka Africa ndio wanaokubali kudhalilishwa kwa kigezo cha kutoka Africa. Go good girl though nitakumiss sana BBA.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 23, 2011

    Ohoo Tanzania ni wasichana tu wamenda ok thanks kuwaonesha wewe ni dume puuzi kwa kuacha mamilioni kwa ajili ya mayai

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2011

    alishindwa kujizuia hasira zake pamoja na hayo ukiingia kwenye gemu ya BB kuna katiba zake na mojawapo usimpige mwenzio wala kupigana utakapokiuka moja ya miiko unaondolewa mchezoni kingine LOTUS mtu wangu kama unatembelea hii blog ilitakiwa ujifunze kwa tukio kama lako katika season iliyopita(ALL STARS)lililomsababisha HANNINGTON wa UGANDA kutolewa ndani ya nyumba alipopigana na LERATO(msauzi)ila kwa upande mmoja au mwingine mtu kama DANI alikuwa karibu na wewe uwezo wa kugombelezea au kukuzuia ulikuwepo ila ndiyo hivyo tena maji yakishamwagika hayazoleki kwa upande wangu wewe ulikuwa na gemu kuliko huyo BHOKE ila kitu kidogo kimekuharibia no offence I am just saying LOL

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 23, 2011

    Tatizo moja la huyu dada etu,nadhani ana inferiority complex about her self and about her country......dah kazi kwelikweli kwasaabu hilo limeonekana wazi inabidi ajitahidi kulitatua kwa faida yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...