sehemu za mzunguko ulioko maeneo ya stendi kuu ya mabasi mjini Bukoba ambao uongozi wa manispaa ya Bukoba unaendelea kuufanyia marekebisho makubwa, katikati ya mzunguko huo kilichofunikwa kwa makaratasi ni chakula kikuu cha wazaliwa wa mkoa wa kagera ambacho ni ndizi, ndizi imetengenezwa kwa zege,mzunguko huo wa aina yake mkoani kagera utagharimu zaidi ya shilingi milioni 8.5 ambapo matengenezo yake yamefadhiliwa na kiwanda cha samaki cha VicFish kwa kushirikia na manispaa ya Bukoba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...