Kaka Issa Michuzi,
Pole na mahukumu yako ya kila siku ya kutuelimisha na kutuhabarisha wadau. kaka; mimi ni mwanasheria kitaaluma, na kwa kutambua matatizo mbalimbali yanayowakabili watanzania wenzangu hasa katika tasnia ya sheria nimeamua kuanzisha blog yangu;

KARIBUNI WADAU
Frank Tong.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2011

    Asante kaka. Blog yako ni ya aina yake na tunashukuru

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2011

    mbona huo mzani hauko sawa. yaani umekaa kama mizani ya mahakama yetu iliyowekwa nje ambavyo inaonekana imeegemea upande mmoja i.e unbalanced. au ndio staili yake ya upande mmoja kuwa juu na nyingine chini?! Hongera sana kwa kuanzisha blog hii. itatusaidia sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2011

    Tumekupata faza!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...