Bwana michuzi,
Asante kwa kuendelea kutupa habari za ndani ya nchi yetu. Sisi tulio nje mara fulani tunaona kama tuko nyumbani. Mimi ni mwanafunzi wa Chuko kikuu Algeria nasoma Usanifu wa Ujenzi naomba unitangazie website yetu hii iliyotengenezwa maalum kwa ajili ya kubadilisha mitazamo ya vijana
This site is dedicated to the youth of all times. Hivyo vijana wote na hata wale walio wahi kuwa vijana wanaruhusiwa kuandika makala zao na kuzituma kwetu.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...