Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza (Tan-UK) Dk. Joseph Lusungu akiongea wakati wa ufunguzi wa London 3 Diaspora Conference jijini London leo
Balozi wa Tanzania Uingereza Mh. Peter Kallaghe (pili kushoto) akiwa meza kuu na Mratibu wa Mambo ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bi. Bertha Somi 'Mama Diaspora' (shoto) na Mbunge wa Viti Maalum Mh. Vicky Kamata na Mwenyekiti mstaafu wa Tan-UK Aboubakar Faraji wakati wa ufunguzi wa mkutano huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...