
Bi. Lulu Mengele, Afisa Uhusiano wa PPF akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe zawadi kutoka PPF kwa Ubalozi wa Tanzania na Kisha kumkabidhi Balozi Peter Kallaghe

Wimbo wa Taifa

Mh Waziri Membe akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa wa ubalozi wa Tanzania UK

Mh Membe akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa katika wizara ya kazi, wabunge wa CUF na CCM na Balozi wa Tanzania na Naibu wake

Picha ya pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...