Home
Unlabelled
Exclusive lotus arejea nchini, aongea na globu ya jamii,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
that was a game!
ReplyDeletesasa naanza kuelewa kwann huyu mdada kavurunda na kutimuliwa mapema hivo kumbe alikwenda kucheza wakati wenzake wameenda kutengeneza maisha.
Huyu mwanamke anastaajabisha sana, She cant get away with the fact that she is stupid.
ReplyDeleteAlichonibore na kushangaza watu wengi kule ameenda kufanya nini sababu hana Identity ya Utanzania na anachafua uhalisia wa Ufrika.
Alikuwa anajua kwamba Mlima Kilimanjaro upo Arusha na siyo Kilimanjaro????
Anaitoa Southafrica kwenye his african mind eti sababu imeendelea sana, ina maana she is branding Poverty, Suffering and all other disgraces to be african Identity???? Kweli jamani???
Cha mwisho of all the strange people you just met them few days ago in the house unaamua kunominate your fellow Tanzanian for eviction kweli ni chuki gani hiyo dhidi ya Mtanzania mwenzako tena mnaye fanya naye kazi Kampuni moja??
Angalia hata baada ya kuona Mtanzania mwenzake ameanza uhusiano na Ernest japo haukuwa umekomaa sana but she went on Kissing the guy and asking the guy who he would choose between her and Bhoke? Yaani yeye anaharibu karibu na nyumbani tu ndo tabia yake.
Ukitaka kujua ni mpumbavu zaidi anakatisha mahojiano huku akijua anarecordiwa anaongea na simu..
Conclussion yangu huyu hastahili kupewa heshima ya Uafrika na Utanzania aende huko huko Sweeden alikotoka na hapa kwetu asiaminiewe na kupewa nafasi yeyote ya maana nchini maaana definetely ata favour wageni kuliko wazawa.
Samahanini kwa kuwa na hasira lakini huyu mwanamke anakera bana.
I really love this woman...she is real and herself as she's saying..dont quote me wrong im her fun for sure.....xposed and outgoing if ur an introvesry huwez kumuelewa achilia mbali kuwa fun wake
ReplyDeletemdau
The first time I saw her speak I thought she was an outright buffoon but on this video she has at least managed to show that there is some traces of braincells between her ears. Hopefully her misplaced agression will find the right channels as she gets more matured.
ReplyDeleteLotus
ReplyDeleteNatamani Big Brother akuite uendelee na show! kama unavyosema uko random na ni kweli kwani ulikuwa hutabiriki ndani ya jumba! hivi pale siku ile ilipoanguka wakati unashuka ngazi ilikuwa makusudi au? halafu siku ile ulipoacha maziwa ya mtindi yazagae kwenye lips za mdomo wako na mashavini ulifanya makusudi?
I reckon still doesn't know what she's doing,lack of points in her conversation,not sure if she got anything in the head...you can notice it even during her interview was held,worse enough you pick up the phone while on interview....zero zero zero.
ReplyDeleteNext time please, send decent people in-steady of fake.
Huyu binti amechanganyikiwa. Anachojua tu ni kujieleza kwa kiingereza. Ukibadili hicho anachosema kwa kiingereza kuwa kiswahili unapata neno moja tu - PUMBA. Ni kwamba HANA IDENTITY - HUKU NAYUKO NA KULE HAYUKO. Na mtu asiyekuwa na identity ni kama MFU. Nawashauri wanaopeleka watu big brother kufanya mchujo vizuri tusipate aibu. Huyo Bhoke aliyebaki huko kafanya mapenzi kwenye swimming pool na Africa nzima imeona. Naye Mwisho Mwambapa moja wa sababu zilizomganya ashidwe ni kwamba alionekana SI INTELLIGENT - Kila wakati MLEVI tu na kuna baadhi ya mambo aliyokua anafanya hayakuwa yanaendana na UMRI na PERSONALITY yake. Tukubaliane wawakilishi wetu big brother mwaka jana na mwaka huu ni WASTE!
ReplyDeleteHana ata chembe ya utanzania huyo lotus yaani hafai kwa lolote mtu gani anaropoka ovyo tena bila mpangilio wa point?? afadhali katoka tu angebaki kule zahama ingekua zahama kubwa.....mie kanibore kupita maelezo
ReplyDeleteNi kwamba personality yake haiendani na namna ambavyo anataka jamii im define. Huyu angefaa kuwa kama mama ntilie au polisi, watu wa namna hiyo. Hata nesi hafai. Kazi zina personality jamani HUYU HANA PERSONALITY YA ENTERTAINMENT INDUSTRY. Hapo walipompa kazi ya entertainment ni kwa hicho kiingereza tu lakini HANA MVUTO
ReplyDeletei dont why... but i like her....say whatever u want to say but that's my view.
ReplyDeletedumb dumb dumb..i don't watch the show but just from the interview people like her don't deserve to represent my country.
ReplyDelete