Ukiwa Dar na hujatembelea kiota cha maraha cha Samaki Samaki kilichopo Mlimani City utakuwa hujajitendea haki, hasa hasa kama wewe ni mpenzi wa misosi ya baharini hususan samaki samaki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2011

    mmmh jamani wabongo hata kushika uma na kisu tatizo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2011

    coz sio utamaduni wetu, unachoshangaa ni nini. sie yetu midole kwenda mbele tunalazimisha tu fani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2011

    Wangekula zao kwa mikono wangeenjoy zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...