
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usimamizi wa Bima Kanda ya Kaskazini Bi. Stella Rutaguza akifungua mkutano wa wafanya biashara ya Bima mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa ofisi ya Kanda ya Kaskazini ya mamlaka hiyo. Kushoto ni Kamishna wa Bima Bw. Israel Kamuzora
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...