Moja ya Scene katika wimbo wa Shika Ushikapo unaopatikana katika DVD ya Mapacha Watatu. Toka shoto ni Jose Mara, Mzee Yusuf, Khalid Chokoraa na Kalala Jnr. Hapo Mzee Yusuf akiwapa tizi la miondoko ya kipwani Mapacha hao watatu

Duly Sykes Atakuwepo

Jumapili ya Leo Kuanzia Saa 3 Kamili Usiku Tukutane Mzalendo Pub Katika Uzinduzi wa Mapacha Watatu DVD. Humo Ndani utakutana na Video za Nyimbo Zetu Zote Zilizo katika Album ya Jasho La Mtu.

Tutasindikizwa na Mfalme wa Bongo Fleva Duly Sykes, Mzee Yusuf na Baadhi ya Wasanii wa Filamu walioshiriki katika Video hizo kama Mzee Chillo, JB, Bi Mwenda. Na wengineo wengi. Karibuni sana Kiingilio ni Shilingi 7,000/- TU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...