Hawa ni Top Band ambao utawakuta Sea Cliff hotel jijini Dar Jumatano na Alhamisi jioni na Jumapili kama leo wako Kilimanjaro Kempinski mchana na jioni pale pale Sea Cliff Hotel. Huu ni wimbo wa 'Rafaeli' uliotungwa na Vitalis Maembe na Ssaganda. Mark band wanapatikana kwa simu namba +255 715 210773 ama emailyao ni bandformak@yahoo.com na libeneke lao ni www.markafricaband.co.tz
Home
Unlabelled
mark band wakikupa jumapili njema na 'rafaeli'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...