Omba Omba maarufu nchini, Athony Matonya akiendeleza kazi yake ya kuomba kwa staili ya kulala chini eneo la wapiti kwa miguu daraja la shani kama alivyokutwa Mei 26, mwaka huu na mdau John Nditi wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2011

    Babu ana maisha marefu sana!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2011

    hii ni kama biashara kabisa, anapashwa kulipa mapato TRA. pay as you earn!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2011

    Haogopi hata Majini yanayopita

    ReplyDelete
  4. pakakalakashataMay 28, 2011

    mzee matonya unanikumbusha ulivyompeleka yussuf makamba mbio ,inshallah m,mungu atakufugulia maisha yako uache kuomba

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2011

    hizo hela alizopata mpaka leo hazijamtosha? Toka nikiwa sijui mdogo kiasi ganialikua huyu anaomba oooopsss hata nchi yetu toka tumezaliwa inaomba misaada kwanini tumseme huyu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...