Mbunge wa viti maalum (CCM) Zanzibar,Tauhida Galos Cassian (kulia), akikata utepe kuzindua rasmi darasa la kompyuta katika ofisi za UVCCM, mkoa wa Mjini, Zanzibar juzi. Mbunge huyo alitoa kompyuta 10 kwa ajili ya darasa hilo na mashine 2 za fotokopi kwa ofisi za wilaya ya mjini na Magharibi.
Mbunge wa viti maalum (CCM) Zanzibar,Tauhida Galos Cassian (kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa kompyuta kwa Katibu wa UVCCM wilaya ya Mjini, Yusuph Ramadhan Abdallah (kulia), wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika Ukumbi wa ofisi ya CCM Mkoani, mjini Zanzibar juzi. Jumla ya kompyuta 12 na mashine mbili za fotokopi vyenye thamani ya shilingi milioni 5.9 vilitolewa na mbunge hiyo kwa ajili ya jumuia ya chama hicho.
Mbunge wa viti maalum (CCM) Zanzibar,Tauhida Galos Cassian akimuelekeza jambo mmoja kati ya wanafunzi wa awali wa somo la kompyuta, Fatma Alawiy Ali mara baada ya kuzindua darasa la kozi hiyo katika ofisi ya CCM mkoa wa mjini, juzi. Mbunge huyo alitoa kompyuta 10 kwa ajili ya darasa hilo na mashine 2 za fotokopi kwa ofisi za wilaya ya mjini na Magharibi.
Mbunge wa viti maalum (CCM) Zanzibar,Tauhida Galos Cassian (kulia), akikata utepe kuzindua rasmi darasa la kompyuta katika ofisi za UVCCM, mkoa wa Mjini, Zanzibar juzi. Mbunge huyo alitoa kompyuta 10 kwa ajili ya darasa hilo na mashine 2 za fotokopi kwa ofisi za wilaya ya mjini na Magharibi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...