Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akihojiwa na timu ya Urban Pulse Channel pamoja na mwanahabari nguli Freddy Macha wakati wa London 3 Diaspora Conference jijini London wikiendi ilopita. Kushoto ni Frank Eyembe na kulia ni Baraka Baraka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2011

    attire is one of the most important things in journalism...mwandishi wa habari anavaa vaa tu bila ya kujitambua kuwa anaongea na waziri...this is sad...ila kama waingereza wanavosema journey begins with a single step...tushachukua hatua sasa tusirudi nyuma ni kusonga mbele kama alivosema waziri...Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  2. jamani naomba jina na mwimbaji wa huo wimbo wa tanzania ASAP! ninaupenda sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...